Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, leo Januari 24, 2025, ameshuhudia utiaji saini wa mikataba tisa ya ujenzi wa ...
NI siku ya hukumu! Baada ya tambo za muda mrefu, leo sanduku la kura linaamua nani awe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na ...
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo watakuwa wageni wa Singida Black Stars kwenye mchezo wa ligi hiyo Uwanja wa Liti mkoani Singida. Simba wanaongoza ligi hiyo baada ya kukusanya pointi 37 ...
Picha na Hamis Mniha Dodoma. Kesi ya mauaji ya mtoto Grayson Kanyenye (6) inayowakabili dereva bodaboda Kelvin Joshua na bondia Tumaini Msangi inatarajiwa kusomwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu ...
lakini anafahamu vyema kwamba mechi ya leo ni jambo kubwa, hasa kwa mashabiki na wachezaji wa klabu ya soka ya Accrington Stanley. ‘Ni wakati muhimu sana kila mechi na timu tunayocheza dhidi ...
wakati serikali ikitangaza siku hii ya leo kuwa ya mapumziko. Wageni waalikwa 2500 ndio wanaotarajiwa kuhudhuria sherehe hizo ambazo Ureno mkoloni wa zamani umemtuma waziri wake wa mambo ya nje.
Hakuna namna nyingine ambayo mashabiki wa Yanga na Simba wanachotaka kusikia leo Jumapili zaidi ya timu hizo kushinda ugenini. Unaweza kusema leo ni siku ya hukumu, sio kwa timu hizo tu za Tanzanuia ...
Akijulikana nchini Ghana kama Malkia wa Hesabu, Dk Angela Tabiri ndiye Mwafrika wa kwanza kushinda shindano la Big Internet Math Off, mafanikio makubwa kabisa kwa mtu ambaye hakuwa amepanga kusoma ...
kabla ya bao hilo la leo, Ngoma pia alifunga wakati Simba ikiisambaratisha Kagera Sugar kwa mabao 5-2 kwenye pambano lililopigwa wiki mbili zilizopita kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba. Matokeo ...