Kwa mujibu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), cheti cha ndoa cha dini hakitoshi kukutambulisha kama mke na mume mnapofika kwenye masuala ya kisheria. Rita inafafanua kwamba ili ndoa ...